KUMBE IGUNGA ILIKUWA FULL VIDUKU!!!!! SIASA NI NOUMAAAAAA...

Huu ulikuwa uzinduzi wa chama cha UPDP katika kile kinyang`anyiro gumzo cha kumtafuta mwakilishi wa ubunge jimboni Igunga...


Yani ukiskia mbwembwe ndo hizi! Uchaguzi si lele mama jamani! Mtu tukimuona bungeni tunachukulia poa kumbe msoto wake ndo kama huo!!

Comments

Anonymous said…
Lets hope wakichaguliwa pia wanakuwa karibu na wanachi like this, wakari wa kutafuta they can do anything to get your vote, silly billy.Inatia burudani
Nice one.

P.O