UKWELI WA ZITTO KABWE!!
Jana kulizuka uvumi juu ya kufariki kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe, umeendelea kuzagaa mpaka leo. Ukweli ni kwamba hajafa, na tuendelee kumuombea mema kama binadamu mwenzetu, ili kwa pamoja tuijenge nchi.
Dr Wilbroad Slaa amezungumzia hilo leo na kubainisha yuu hai, ila yupo hospitalini Muhimbili kwa matibabu, na anaendelea vizuri! Ugonjwa unaomsumbua hajaweka wazi, japo jana kuna waliosema kuwa anasumbuliwa na Malaria..
Mungu aendelee kumjalia afya njema!!
Jax..

Comments