AIYAIYAAA KUOLEWA..NITARUDI NYUMBANI KUTEMBEA...
Tetesi zilikuwa nyingi, uongo na ukweli dhidi ya maneno ya watu ndani yake, mwisho wa siku yamekuwa!Anty Ezekiel kachukuliwa jumla..Hongera Anty, Mungu na awaongoze muwe na amani na furaha tele!
Kuna kithibitisho kikubwa kingine cha ndoa zaidi ya maandishi kwenye hicho kitabu? lool
Asante Missie Popular kwa picha..
Comments