AMA KWELI YA DUNIA MENGI!!
Kweli kila mmoja angejua safari yake ya duniani itakuwa vipi, akifa pia itakuwa vipi, huenda watu wengine wangehama katika maeneo yao wakihofia kitakachotokea pale watakapokufa.
Hii ni hali halisi ya huko Bukoba vijijini ambapo hakuna anayeshangazwa pale anapokutana na baiskeli au pikipiki imebeba maiti kuipeleka hospitali. Na kama usafiri ni shida ina maana hata siku ya mazishi ndivyo itakavyorudishwa kijijini kwa usafiri huohuo. So sad....
Barabara ni nzuri mno ila gari la hospitali hakuna.

Kwa habari zaidi chungulia http://www.bukobawadau.blogspot.com/
Comments