NIMEKUTANA NAYO FACEBOOK LEO!
Hii huwa inatokea kikawaida tu. Kuna nyimbo pia zimeimbwa kuwa mtu anapoumwa misaada huwa ni ya kusuasua ila akifariki watu wanatoa hela nyiingi kwa hali na mali, viroba vya vyakula ndo usiseme mpaka unashangaa. Nafkiri na huyu wa facebook amekaa akawaza jinsi mtu mmoja anavyoweza kufa kama ilivyotokea kwa Whitney Houston akawaliza watu milioni lakini kuna ambao milioni walishasikika wanakufa au wamekufa kwa njaa na hakuna aliyejigusa pengine kujali au kulia.
Comments