JUMAMOSI HII NI HATAREEEEEE....KOFFI OLOMIDE NDIO HABARI YA MJINI
Kiukweli mi mwenyewe naona kama siku haifiki vile! Hapa KOFFI, PALE TWANGA PEPETA, PEMBENI FM ACADEMIA,SKYLIGHT BAND, NA MASHUJAA BAND! Uwiiii...utamuuu
Burudani zote hizo kwa siku moja, ndani ya jukwaa moja. Ni jumamosi hii pale leaders club kuanzia saa tisa mchana kwa kiingilio cha tsh 10,000 ukinunua ticket mapema na 15,000 ukinunua ticket mlangoni.Kwa taarifa zaidi na ujio wake,tune to Clouds fm na Clouds Tv.
Comments