HATIMAYE PAPA MPYA AMEPATIKANA....

Ni Kadinali Jorge Mario Bergoglio wa Argentina..Ataitwa Papa Francis wa kwanza(1)
Kwa mara ya kwanza katika historia ya uchaguzi wa Papa...aomba waumini wambariki ndipo aweze kuwabariki pia na wao!






Ameanza siku yake ya kwanza kazini kama papa kwa maombi binafsi katika hekalu la mtakatifu Maria Maggiore mjini Rome-Italy. Marais mbalimbali wampongeza wakiwamo wa Argentina na Brazil.

Comments

Popular Posts