HALI YA RAIS MSTAAFU NELSON MANDELA YAELEZEWA KUWA MBAYA...
Raia wa Afrika Kusini watakiwa kutokuwa na matumaini kupita kiasi kuhusu hali ya Rais wao mstaafu Nelson Mandela.
Ni siku ya 16 ambapo Mzee Mandela ameendelea kusalia hospitalini mjini Pretoria akitibiwa mapafu yaliyosababisha tatizo kwenye mfumo wake wa upumuaji. Rais Jacob Zuma ameendelea kuisisitizia Afrika kumuombea....

Comments