WANAWAKE TUNAWEZA. CHRISTINE LEGARDE AULA, NDIYE MD WA IMF OFFICIALLY!!

Christine Legarde ndiye Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Shirika la Fedha Duniani la IMF. Ni mwanamama wa kwanza katika nchi tajiri kiviwanda G8 kuliongoza shirika hilo akiwa na miaka 55, ambapo kabla ya nafasi hiyo,alikuwa ni Waziri wa Fedha wa Ufaransa.


Bi Legarde amechukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo Dominique Strauss Khan, aliyejiengua kutokana na kashfa ya kumbaka mhudumu wa Hotel huko New York Marekani


Comments

Popular Posts