IJUE HAKI YAKO KAMA MTUMIA MITANDAO YA MAWASILIANO!!!
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imekupa fursa ya kuwasilisha malalamiko na kero kwa mtoa huduma wako wa mtandao wa mawasiliano. Haijalishi ni Tigo, airtel, zantel,vodacom,ttcl,au vituo vya redio. Ila unatakiwa kuzingatia jinsi ya kuyafikisha malalamiko yako kwa mfano...malalamiko yako yawe yanagusa nyanja nyingi mbalimbali au watu wengi kwa mara nyingi. Watumiaji wa mitandao mpaka sasa hivi ni milioni 21. inasemekana kila siku, kuna makato ya sh. mia mbili kwa kila mtumaji.Ukipiga mara mil. 21 unapata sh. ngapi? Ni hela nyingi sana ambayo hata watu hawajui kama inakatwa, au inakatwa kwa sababu gani!!!
Angalia jinsi ya kuyawasilisha....
Angalia jinsi ya kuyawasilisha....
Comments