WANAWAKE TUNAWEZAAAAAA.....
Kila siku tunaambiwa tujikwamue, unaweza kuwa na kisomo lakini kwa bahati mbaya hujapata kazi, haiingii akilini ukikaa tu nyumbani ukisubiri kazi ikufuate. Amina anasherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa, anasoma UDSM kwa sasa, lakini pia amezindua kampuni yake ya kufanya usafi. Ni hatua kubwa kwake sanaaaaaaa! Wengine watahoji he! hiyo nayo hatua kubwa? ndio ni hatua kubwa...we unayo?????????
Angalia picha kwa maelezo zaidi.....ukikerekwa ipotezee...
Birthday girl amina(wa pili kushoto) akaingia kwa mbwembwe
Kampuni nayo ikazinduliwa..Brilliant Cleaners Co. Ltd
Dada mtu huyu ni one of directors wa kampuni....
MC wa shughuli hapo shoto ni noumarrrrrr
Hayawi hayawi yakawa...tukatambulishwa kwa shemejii
Na mengine yakaendelea...
Na habari ikaishia hapo!
Angalia picha kwa maelezo zaidi.....ukikerekwa ipotezee...
Birthday girl amina(wa pili kushoto) akaingia kwa mbwembwe
Kampuni nayo ikazinduliwa..Brilliant Cleaners Co. Ltd
Mpango mzima usafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Dada mtu huyu ni one of directors wa kampuni....
MC wa shughuli hapo shoto ni noumarrrrrr
Hayawi hayawi yakawa...tukatambulishwa kwa shemejii
Na mengine yakaendelea...
Na habari ikaishia hapo!
Comments