BREAKING NEWSSSS...LULU AACHIWA KWA DHAMANA....

Mahakama kuu leo imetangaza dhamana ya mwigizaji Lulu lakini iwapo atatimiza masharti aliyopangiwa ambayo ni pamoja na kuwasilisha hati yake ya kusafiria, kutosafiri nje ya Dar es salaam, kujiwakilisha au kuripoti mahakamani kila siku ya kwanza ya kila mwezi pamoja na wadhamini wake wawili ambao kila mmoja adhamini kwa shilingi milioni 20 za kitanzania. Hizi ni baadhi ya status za mashabiki wake na marafiki wa facebook… -Johnrich Faithful Yabba,, Welcum back my swty bebe LULU. . . .anythng z pocbo under the court and law*** -Daudi Wa Kota,, HAYA SASA LULU KAACHIWA KWA DHAMANA KAMA NAYAONA MAGAZETI YA RANGI RANGI YATAKAVYOUZA FULL SKENDO DAILY LOL.*** -Sillas Mbuya,, LULU ndo story ya mujini leo. Huyoooo katokaaaaaa*** -Julie Charlie,, I'm happy lulu katoka*** -Martin Survivor Kadinda,, free Lulu Elizabeth michael.........what a Great News.***
uwezekano wa Lulu kuachiwa upo kuanzia january 29/2013 kesho kwa sababu kuna watumishi wawili wa serikali wapo kikazi mkoani Pwani na ndio walitakiwa kutia saini dhamana ya Lulu wakiwa ni sehemu ya masharti.

Comments

Popular Posts