DAR LIVE JUMAMOSI HII HAPATATOSHAAAA..WASANII WA KUMWAGA

Haijawahi kutokea, jitokeze ujionee mambo! List ya wasanii imesheheni haswaa.. TWANGA PEPETA, MRISHO MPOTO, SHILOLE CLASSIC, SNURA, TUNDA MAN(TIP TOP), VITALIS MAEMBE(SUMU YA TEJA), HEMED PHD, RADO & NIVA, BONGO MOVIE NAO NDO USISEME KIINGILIO NI SH 15000 VIP, 7000 WAKUBWA, NA 2000 WATOTO

Comments

Popular Posts