BAADHI YA MARAIS WANAOTAJWA KUWA MADIKTETA NA KUKALIA KITI KWA MIAKA MINGI AFRIKA.....
President José Eduardo dos Santos-Rais wa Angola toka mwaka 1979
Idriss Déby -Rais wa Chad toka mwaka 1990
King Mswati III- Rais wa Swaziland toka mwaka 1986
Ismaïl Omar Guelleh- Rais wa Djibouti toka 1999
President Ali Bongo Ondimba- Rais Gabon, alirithi mikoba baada ya baba yake aliyeongoza toka mwaka 1967-2009 kufariki.
Robert Mugabe-Rais wa Zimbabwe toka mwaka 1987
Isaias Afewerki-Rais wa Eritrea toka mwaka 1993
Yoweri Museveni-Rais wa Uganda
Denis Sassou Nguesso- Rais wa Jamuhuri ya watu wa Congo(Brazzaville) Amekuwa rais mara mbili tofauti 1979-1992 na mwaka 1997 tena.
President Omar al-Bashir-Rais wa Sudan, madarakani toka mwaka 1989
Paul Biya-Rais wa Cameroon. Madarakani toka mwaka 1982
Mohamed Ould Abdel Aziz-Rais wa Mauritania
Comments