MAN U MPO????????? FERGUSON KUSTAAFU!

Baada ya kuwa meneja wa timu ya Manchester United kwa miaka 26 mfululizo, Sir Alex Ferguson atangaza kustaafu!



Miaka hiyo 26, amefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi mbalimbali mara 13, ushindi wa michuano ya kombe la Ulaya mara 2, FA mara 2, makombe ya ligi mara 2 pia!

 
Anastaafu akiwa na umri wa miaka 76, ikimaanisha alianza kuitumikia Manchester kama meneja akiwa na umri wa miaka 45 hivi.
 
 

Poleni wapenzi wa Man U..lol


Comments

Popular Posts