YALIYOJIRI KITCHEN PARTY GALA...

KUINGIA TU, UNAPOKELEWA NA MANDHARI NZURI
SHUGHULI PIA ILIJIELEZA YENYEWE..UKIINGIA TU....
MBALI NA WALE WA SHUGHULI ZILIZOPITA, SAFARI HII ALIKUWEPO MTOA SOMO KUTOKA KENYA..GETRUDE!
MANENO MATUPU BILA VITENDO HAINOGI...ANAONYESHA THEN UKAPRACTICE KWAKO
AUNT SADAKA
CHRIS MAUKI
MAMA VICTOR
WAHUDHURIAJI WENGINE NA MITOKELEZEO
WATU WENGI WALIZINGATIA SARE MPAKA RAHA AISEE..KWA TULIOKOSA, TUSUBIRI IJAYO TUKIJAALIWA.! PICHA..ASANTE 8020..KWA PICHA ZAIDI WAWEZA MTEMBELEA www.8020fashions.blogspot.com

Comments

Popular Posts