CYNTHIA MASASI NA WEMA SEPETU KATIKA LEVEL ZA MBELE....
Aliyewahi kuwa video model kwenye video za wasanii wakubwa wa Marekani na
muigizaji wa filamu, mtanzania Cynthia Masasi anatarajia kuja kwa kishindo
kwenye filamu ya kimataifa atakayoigiza kama main character pamoja na Wema
Sepetu.
Jina la msanii wa Nigeria maarufu watakayeigiza nae bado liko kapuni. Kaa mkao wa kula........
Picha thanks to Darvel Kardashian....
Comments