KUPATA RAFIKI WA KWELI, MWENYE KUKUJALI KUTOKA MOYONI NI KAZI...NA UKIMPATA SHUKURU MUNGU!
Baada ya Wema Sepetu kuokoa jahazi la hukumu iliyotolewa dhidi ya Kajala, hatimae Kajala atoa asante kwa style yake!
Ni tatoo kama unavyoiona! Iko mwilini kuonyesha uzito wa shukrani! Mungu na awajaalie mshkamane, msitenganishwe na wasiopenda mema manake mjini hapa kuna watu walizaliwa kuchonganisha watu!

Comments