NI MKWANJA WA TABU?? SIO MKALI KIHIVYO?? AU SIO UTARATIBU AMBAO UMEZOELEKA??????
Baada ya msanii mkare kwa sasa Ben Paul kutangaza utaratibu wake mpya wa ku-charge kila atakayetaka kumshirikisha kwenye wimbo wake, ameibuka na kusema mwitikio umekuwa mdogo mpaka yeye mwenyewe anashangaa, japo kuna ambao wamemtafuta wakisema ni hela nyingi mno, so wana pungufu ya anayoitaka.
Ben Paul ana-charge laki tano tu kwa kila atakayetaka kumshirikisha kwenye wimbo. Ni utaratibu ambao wengine bado hawajauanzisha au pengine wanaufanya kimyakimya.
Alipoulizwa endapo atataka kumshirikisha msanii mwenzake kwenye wimbo, na akachajiwa, amesema hakuna neno kama atakutana na msanii mwenye utaratibu kama wake, atamlipa kiasi atakachokihitaji.

Comments