KESHO NI SIKU YETU KUUUBWA! WANA CLOUDS RADIO NA TV!

si kitu cha ajabu kusikia shamra shamra kutoka mjengoni, na mwaka huu shamra shamra zinakuja kivingine. A lot of suprises, wapenzi wetu wa vipindi redioni na katika Tv nao watajumuika nasi.( kama unataka kuwa mmoja wapo karibu), na kama si hivyo kaa tu nyumbani, ofisini, saloon, na popote penye redio au tv, uwe mmoja wa watakaosherehekea siku yetu kubwa wana Clouds! Duuu si ya kukosa! mipango iko mob, kwa ajili ya mambo mob!



Hawa ni baadhi ya watayarishaji na watangazaji watakaohusika kila mmoja kwa nafasi yake!

Antonio Nugaz-Mtangazaji


Dina Marios na Zamaradi Mketema-Watangazaji

Milalard Ayo-Mtangazaji
Barbara na Gerald-Watangazaji


Shadee-Mtangazaji

Sakina Lyoka-Mtangazaji


Sophia Kessy-Mtangazaji

List ni ndefu na timu ni ya maandalizi ni kubwa mno! Mengi mengineyo tune kesho kuanzia saa moja kamili asubuhi, na kwa niaba ya uongozi mzima wa Clouds Media Group, tunakushkuru kwa kuendelea kutuweka namba moja! 

Comments

Popular Posts