WE ARE CELEBRATING OUR 12TH BIRTHDAY LEO! ASANTENI KWA KUENDELEA KUTUWEKA NAMBA MOJA!!

Ni miaka 12 toka  Clouds Media Group imeanzishwa na tuna kila sababu ya kumshkuru Mungu kwa kweli. Tuko live kwenye Tv na Redio toka saa moja asubuhi, mambo yaliyoendelea ni mengi, maandalizi ndo usiseme. Wageni waalikwa ni wengi kila mmoja kwa nafasi yake!

Sala ni muhimu na hilo lilizingatiwa.



Power Breakfast ilianza kama kawaida ya ratiba ya vipindi vyetu.

Barbara, Pj, na Gerald


Christina Shusho na Emanuel wa nyimbo za Injili wako na Harris Kapiga



Jimmy Francis akiwa na Gerald. Jimmy ni mtayarishaji(Producer) mkubwa na makini tu wa vipindi vyetu hasa Power Breakfast


Linex nae kwa sana tu aliwakilisha!



Ikafika zamu yangu kuzungumza mawili matatu. Niko kikazi zaidi lol...




Unawakumbuka Dokii na Bishanga wa Mambo Hayo? Walijumuika na Leo tena ya Dina, Zamaradi, na Geah!




Comments

Popular Posts