YALIYOJIRI KITCHEN PARTY GALA!!
Ukisikia tena hii shughuli inatangazwa, wallahi usikose! Ni zaidi ya uyajuayo!
Iliandaliwa na women In Balance..na kuingia tu tukapokelewa na hawa wadada!
Waandaaji wa shughuli..Dina Marios na Vida
Ant Sadaka nae alitupa mada akagusia mwanamke kujiamini, haijalishi sura wala shepu uliyo nayo!
Huyu pia alitupa mada. anaitwa mama Victor! Mengi aliyoyaongea yaluenda sambamba na mistari ya biblia.Hilo pozi ni moja ya alivyovieleza katika mada.Upo????
Watu walikufaje mbavu somo lilipowaingiaaa?
Kila mtu alikuwa huru kuuliza swali kama Janeth alivyofanya hapa!
Ukafika wakati wa msosi wa nguvuuu! Yaani things were beyond 30,000/= mtu aliyolipa. Plate tu 28,000, Chezeaa!
Hatukua wapweke..Patricia Hilary alituburudisha
Ah jamani Bulaaaaa
Faiza, Bulla, n Moi!
Kitchen Party Gala ilinoga mnooooo...next time ukiisikia...wahi tiketi mapemaaaa!
Iliandaliwa na women In Balance..na kuingia tu tukapokelewa na hawa wadada!
Waandaaji wa shughuli..Dina Marios na Vida
Bi Hindu si mnamkumbuka? Alikuwa mmoja wa watoa mada! Huyu mama ni kiboko!!

Comments