FATOU BENSOUDA IN ANOTHER LEVEL...
Mwendesha mashtaka Mkuu mpya wa mahakama ya Kimataifa ya makosa ya jinai ICC,
Fatou Bensouda ni mwanasheria kutoka Gambia! Tangu mwaka 2004 alikuwa naibu mwendesha mashtaka wa mahakama ya ICC, akawa Mwanasheria mkuu na mshauri wa rais katika nchi yake ya Gambia, na sasa anaushkilia usukani wa ICC(Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai) kama mwendesha mahtaka Mkuu mpya wa mahakama hiyo iliyoko The Hague-Uholanzi.
Luis Moreno Ocampo ndiye aliyekuwa anashkilia wadhifa huo toka mwaka 2003
Comments