YALIYOJIRI KITCHEN PARTY GALA....
Wanawake tumepatiwa furasa nyingi na mojawapo ni hii ambayo tunajumuika wanawake mbalimbali kujifunza mambo mengi ambayo wengi wetu tunayachukuliaga poa.Hafla za mwanzo ilikuwa ni kwa wanawake peke yao lakini this time tulikuwa na wanaume kwa kuwa figa moja si unajua haliwezi ivisha chakula!!!!!!!So wanaume pia wakipatiwa mafunzo mambo yataenda sawa sawia.
Wakufunzi wetu wa siku hiyo walikuwa mchanganyiko..hawa ni Harris Kapiga na Anti Sadaka
Fredrick Kyara
Mama Victor naye alikuwepo
Shadee na Kay
Vida Mndolwa ni mmoja wa waandaaji wa shughuli nzima
Dina Marios
Godliver
Sophia Kessy na Clara
Mama lao aka The Simple Me..lool
Comments