MITOKO YA MAJUU ON BET 2012 AWARDS....


COLORS KIBAO, ILA ZIMEMNOGESHA HADI RAHA..
BEYONCE
 MARIAH CAREY
 NANI KAKWAMBIA KUNA KUZEEKA? LABDA UPENDE MWENYEWE...HAHAHA.. HUYU NI CHAKA KHAN
CISSY HOUSTON, MAMA WA THE LATE WHITNEY HOUSTON ALIWALIZA WATU PALE ALIPOIMBA KAMA ISHARA YA KUMUENZI WHITNEY..WAKUBWA KWA WADOGO WALIKUMBWA NA MAJONZI UPYA...

KIM K NA ZIP

 

Comments

Popular Posts