LANGU ROHONI YA LEYLA RASHID WA JAHAZI..NAYAPENDA MANENO YA HUU WIMBO, YANANIKOSHA MFANO HAKUNA..YANI HAKUNAAGA...

Mwenye maneno mengi huwa namuangalia, wala ubaya sijengi pote nampotezea.Wajinga wajinga nawapotezeaaa, katu hawanipigishi keeelele, binaadamu ndo wamezoeaaa, kuyazushaaa hili na lileeee....Bora nifanye hamsini zangu nisijikondesha bure!!Upo? Sina habareeeeeee

Comments

Popular Posts