WAWILI WANASWA WAKITAKA KUMTAPELI MSICHANA ALIYEKUWA AKITOKA BENKI KILIMANJARO
Watu wawili wamejisalimisha mikononi mwa askari polisi katika eneo la Benki ya CRDB mjini Moshi wakati wakikimbia hasira za wananchi waliokuwa wakiwakimbiza wakidaiwa kutaka kufanya utapeli kwa msichana ambaye jina lake halikufahamika mara moja.
Mmoja wa watuhumiwa hao wa utapeli amejulikana kwa jina la Chichi na kwamba walimfuatilia msichana huyo wakati akitokea Benki.
Comments