UNAWEZA KUWAFANANISHA NA WASANII GANI WA HAPA BONGO KIMAFANIKIO??

Taylor Swift ni mtunzi, mwanamuziki, na mwigizaji.Ana umri wa miaka 21 tu, na hivi karibuni ameingiza zaidi ya bilioni 63 kutokana na kazi zake!




Justin Bieber ana miaka 17 tu. Analipwa zaidi ya milioni 450 kwa shoo moja.

Comments