HIVI NDO ILIVYOKUWA BIRTHDAY YA DATAZ!!!!!
PARTY ILIANZIA OFISINI..Millard Ayo akapewa kipande
Mkali Jedy nae akapewaJoyce Shebe mwanakamati nae alijumuika
Sakina lyoka,sophia kessy na jerome wakati wa tukio
Goodluck wa Marketing
Kikosi kikahamia Samaki Samaki Mlimani City , Kumbe tulilenga Siku ya Warembo..
Keki ya Prawns hahaa..
Msosi time
Victoria Martin alitu-join
Hellen na vijana
Shadee wa Clouds Tv
Wadada haha..
Comments