YA WEMA SEPETU NI HIVIHIVI TU AU THERE IS SOMETHING BEHIND SCENE??????
Hivi ni kweli akawa anapenda mambo yake yanavyowekwa hadharani kuhusu mahusiano yake? Naipenda kazi yake kwa asilimia kubwa, yanayomuandama sidhani kama kuna yeyote angependa hayo yamtokee.Mbaya zaidi ni kuhusu uhusiano aliokuwa nao na Chaz Baba wa Twanga Pepeta.Mambo yao yamekuwa mazito na sasa ni kama bifu baina yao.Wakipata washauri wazuri wakawaelewa, i hope kila kitu kitakwenda sawa!!
Comments