hivi viatu ni vizuri sana kwa wadada wanaofanya kazi coz haviumizi miguu kwa kweli pale unapokuwa unavivaa na vinasaidia maofisini kwa katika mizunguko ya humohumo sasa ukiwa umevaa mchumchumio inakuwa balaa! then jackie hivi viatu vinafaa si tu offisini hata kwenye mitoko ya hapa na pale na hata kwa wale wanao penda mitoko ya usiku katika matamasha kama ya FIESTA na mengine ya aina hiyo ambayo huwa inafanyika viwanjani huwa isaaidia sana so utakuwa mwana dada kakuvalia michuchumio hiyo ambayo mwisho wa siku inakuja kumuumiza na kuamua kuvua viatu na kuanza kushika mikononi sasa inakuwa hamna hata raha ya tamasha inakuwa umeenda kustarehe au kutaabika!
Comments
then jackie hivi viatu vinafaa si tu offisini hata kwenye mitoko ya hapa na pale na hata kwa wale wanao penda mitoko ya usiku katika matamasha kama ya FIESTA na mengine ya aina hiyo ambayo huwa inafanyika viwanjani huwa isaaidia sana so utakuwa mwana dada kakuvalia michuchumio hiyo ambayo mwisho wa siku inakuja kumuumiza na kuamua kuvua viatu na kuanza kushika mikononi sasa inakuwa hamna hata raha ya tamasha inakuwa umeenda kustarehe au kutaabika!