VICTORIA BECKHAM NA FAMILIA YAKE
Wapo wanaosema kuwa mwanamke ana upeo mkubwa wa kuitengeneza familia yake kuliko mwanaume. Mathalan katika kuhakikisha kila kitu kimekwenda sawa kwa watoto na mumewe pia, hata iwe swala la bajeti za chakula na matumizi mengine, inasemekana kuwa mwanamke anaweza akamaster kwa hali ya juu.Kwa watoto, mwanamke hodari anaweza kuwalea kwa mafundisho mema na kuwafuatilia kama wanatimiza waliyofundishwa kwa ukaribu zaidi.Na kwa mume, mwanamke ni mshauri mzuri sana na ndipo inapokujaga kauli hii kuwa Mwanaume aliyefanikiwa basi pembeni yake kuna nguvu kubwa ya mwanamke .
Hii ni baadhi mifano ya familia bora ambazo pembeni yake kuna guvu kubwa ya mwanamke katika malezi na ushauri!!
JADA PINCKET SMITH NA FAMILIA YAKE
MICHELLE OBAMA NA FAMILIA YAKE
Comments