BUNGE LETU KAMA ZE COMEDY VILE!!!

Wabunge wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni, wametoka nje ya ukumbi wa Bunge kwa madai ya kutoafikiana na kile walichodai kuendelea kujadiliwa kwa Muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba wakati ukiwa haujatimiza masharti ya kusomwa kwa mara ya pili na ya tatu kwa mujibu wa kanuni za Bunge.

Comments

Popular Posts