DIAMOND AMPA KIPIGO WEMA....ALIYEIMBA MAPENZI YANA-RUN DUNIA HAKUKOSEA AISEE!!!!
Kwa mujibu wa chanzo cha habari, Diamond alijiskia kupekua simu ya Wema ndipo ghafla akakutana na ujumbe uliotumwa na njemba moja hivi ambapo ilionekana kuwa huwa wanachat mara kibao. Kilichofuata after, Diamond hakuuliza, akashusha kipondo cha haja! Manake mpaka alama ikibaki namna hii...kazi ilikua nzito
Kwa mujibu wa chanzo, Wema hajiskii vibaya kutokana na hilo, kwani anaamini kuwa baby boy akimpiga, ndio ishara tosha kuwa anapendwa! Upo??????? Ukisikia mapenzi yana-run dunia usibishee!!! Uzunguni kuna kamsemo "Love is Blind"
Picha thx to Risasi.

Comments