KUMBE IGUNGA ILIKUWA FULL VIDUKU!!!!! SIASA NI NOUMAAAAAA...
Huu ulikuwa uzinduzi wa chama cha UPDP katika kile kinyang`anyiro gumzo cha kumtafuta mwakilishi wa ubunge jimboni Igunga...
Yani ukiskia mbwembwe ndo hizi! Uchaguzi si lele mama jamani! Mtu tukimuona bungeni tunachukulia poa kumbe msoto wake ndo kama huo!!
Yani ukiskia mbwembwe ndo hizi! Uchaguzi si lele mama jamani! Mtu tukimuona bungeni tunachukulia poa kumbe msoto wake ndo kama huo!!
Comments
Nice one.
P.O