HIVI MTU ANAEKUBOA ASUBUHI ASUBUHI UNAMFANYAJE?????

Unaamka na umesali kabisaa siku yako iwe ya amani but from nowhere mtu anakuchafulia siku mapemaa! Yaani kuna mtu ameniboa kupita maelezo. Nilitamani nimtukane hasira ishuke but nikamuonea tena huruma kwa jinsi angekua mdogo kwa mitusi yangu. When am mad kiukweli utakoma. Kila mtu ana hasira and I admit ninazo na zikinipanda nitakushushia mvua mpaka udate!


Namshukuru Mungu ameniwezesha kukaa kimya leo! Siku njema wadau, na poleni for my silence kwenye blog!  Luv you all!

Comments

Popular Posts