BREAKING NEEEEEWS!! SOKO LA MWANJELWA MBEYA LINAUNGUA TENA!!
Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii, soko la SIDO huko Mwanjelwa Mbeya linateketea kwa moto mkubwa tu uliozuka kuanzia majira ya asubuhi! Mamia ya wafanyabiashara wanakimbia huku na huko kujaribu kuokoa mali zao, huku zimamoto zikifika bila maji ya kutosha na zingine hazina maji kabisaaaaa! Chanzo kamili bado hakijaelezwa japo wengine wanasema ulizuka kutokana na kuwashwa kwa tairi la Bajaji!!! Mpaka naingia mtamboni, hakuna taarifa ya yeyote ya mtu kufariki!!
Kwa taarifa zaidi...endelea kunitembelea humu!!!
Kwa taarifa zaidi...endelea kunitembelea humu!!!
Comments