Hiyo hapo chini ni Status yake ya Facebook leo kuhusu jimbo la Igunga kwamba CCM wako gado!!!!!!!Na jimbo watalinyakua!!
"Jana nilikuwa Igunga. CCM ushindi utakuwa wa kimbunga. Hali shwari ndani ya chama na nje ya chama, ndani ya umma! Wenzetu ndo wanaanzhisha matawi na ofisi zao"
Kwa kauli hiyo..Ama kweli Igunga hapatatosha...natamani atokee mtabiri mpya ategue kitendawili chake!! Ni CCM, CHADEMA, NCCR-MAGEUZI, AU???
Comments