PITA PITA KATIKA MATUKIO YANGU TOFAUTI NA WADAU!!!


Hapa nilikuwa Mzalendo Pub mwaka 2010 katika annivesary ya Machozi Band!! Barbara Hassan akanipiga picha. Nilikuwa KIMODO lol..

Nilikuwa nikiboreka tu darasani, natoroka na kwenda swimming kupunguza makunyanzi ya kusoma!!
Birthday yangu ya mwaka huu nilibadilisha mamndhari, nikahamishia shangwe South Africa.Na katika pitapita yangu nikaambiwa hapa ndipo kombe la dunia lilifanyika nikaona nipapige picha kwa
kumbukumbu!!
 
Msimu wa Dhahabu wa Serengeti Fiesta ukafika!! Luda Cris alitua bongo, na brake ya kwanza akaja mjengoni Clouds!!Hapa ilikuwa gombania goli ya kupiga nae picha haha..


July 30 ilikuwa siku ya Fiesta Dar! Watu wakajiachia kupunguza majotroo..Jerome,phillip mwihava,sudi brown,na ray!!

Dadaz!!


Saada na Faiza katika Birthday ya Sinta!!
Faiza, Saada, na mie kwenye Birthday ya Rachel Kidenda! Mwanamke mkono lol..

Nilipata mwaliko wa kibao kata cha rafiki yangu Dorothy!!

Faiza alinitembelea home weekend moja hivi. Na hii picha ikabaki kumbukumbu!
Matukio ni mengi mno na kama una ya kwako matam matam sii mbaya tuka-share pamoja.Niandikie kupitia kombejack@yahoo.com

Comments

Popular Posts