JOYCE KIRIA AVUNJA UKIMYA! AOLEWA TENA, NI MKE HALALI WA HENRY JOSEPH!!!

Duh..sikutegemea kukutana na hii furaha ya watu hawa wawili!!

Bi harusi kapendeza sana kwa kweli!!

Halo halo ya waosha vinywa!!


Waheshimiwa nao hawakukosekana!!


Mungu awajalie maisha bora na mema ya ndoa!!!
Picha: Thanks kwa michuzijr

Comments

Anonymous said…
Ni Henry Joseph Shindika.....Mchezaji! au ni majina tu kufanana!!!,na ndoa ya kwanza alipewa talaka,manake ndoa za kikristo huwa hazivunjiki hiuvihivi
Anonymous said…
Ni Henry Joseph Kileo.Sii mchezaji wa chochote, ni mwanasiasa mkubwa mtarajiwa!!

Jackie!!

Popular Posts