DIVA LOVENESS LOVE WA CLOUDS FM AICHARUKIA JAMII FORUMS..
Comments
Anonymous said…
Crap
Anonymous said…
EBU SIKILIZA DIVA! NILIDHANI UNA BUSARA KUMBE NILIKOSEA... HIYO STAILI YA KUJIPANGA ULIYO TUMA KWENYE YOU TUBE NI KAMA KUTANGAZA VITA NA CYBORG. SABABU UNAPOSEMA UNA HELA YA KUWA SUE NI KAMA KICHEKESHO KWAO NA HAWATAACHA... NA LAITI UNGEJUA JAMII FORUM NI WAKINA NANI? NA MPAKA SERIKALI WANAHANGAIKA NAO USINGETUMA HIYO VIDEO KWENYE YOU TUBE SABABU UMEONGEZA MAADUI NA ITAKULA ZAIDI KWAKO. SO... KWA MSAADA ZAIDI NINAOUONA MIMI KWA SABABU NAJUA WEWE NI MTU POA SANA ILA KWA HILI LIMEZIDI UPEO WAKO WA KUFIKIRI EBU PIGA NAMBA HII 0716 530 930 ILI
Anonymous said…
Aache kuji shaua
Anonymous said…
kwani hako kadiva ndo kanani mpaka kanaleta kujua upeo wake mdogo sisi watu na master-degree zetu sijui hata kama kana diploma kasilete ushenz kwenye hii mambo atuongelei mapenzi kama yeye watu tunadili na maendeleo ya taifa
Anonymous said…
Baada ya kusikiliza maelezo yako, unafanana na tuhuma mbalimbali wanazokuandika kwenye forums...hayo maneno ya fuk..etc. ndio nini.
Tatio la watangazaji wengi ni shule!
Anonymous said…
Diva umeanza kulewa umaarufu nilikuwa nakuheshimu sas kuanzia leo nimekudharau huwezi shindana na Jamii forums hata siku moja> Rwakatare G amedunda serikali imechemka ije kuwa wewe acha utoto muulize swaiba wakoZito akwambie nguvu ya JF. nimetumia busara kukueleza tu tunza heshima yako vaa kistaarabu uone kama utaandikwa hovyo Muone Dadako Jide akufunze kuishi kwa maadili. kuwa celebrity haimaanishi kukaa uchi. umenikwaza. Nyie ndo mnasbabisha wahaya kuitwa malaya. tafakari chukua hatua
Comments
Tatio la watangazaji wengi ni shule!