CATHBERT A. KAJUNA NA ESTER ULAYA WALIVYOMEREMETA JANA!!

Alichokiunganisha Mungu, binadamu asikitenganishe!!

Wakiwa na nyuso zao za furaha!!

Waalikwa waliwapokea ukumbini kwa furaha!! Basi kila kitu ni burudani tu!!


Bwana harusi ni msakataji muziki mahiri tu!
Wafanyakazi wenzie bwana harusi! Daraz, Sofia, na Antu!!

Sofia kessy,Cathbert, Godliver, Ester, cheupe, na Dataz! Sofia Kessy ndiye aliyelidaka ua la Bi harusi!! Nikiulizwa who is next..jibu ninalooooo...

Mungu awajalie Mr. & Mrs. Cathbert Kajuna maisha mema yenye kila zao jema!!

Comments

Popular Posts