BASI LITAKALOSIMAMA KUCHIMBA DAWA NJIANI KUKIONA...
Waziri wa Uchukuzi Dr.Harrison Mwakyembe, ametangaza bungeni kuwa tabia ya mabasi yaendayo safari za mikoani, kusimama hovyo popote barabarani ili watu wajisaidie waache mara moja. Atakaekikuka amri hiyo, kwa mara ya kwanza atalipishwa faini, mara ya pili atapewa onyo, na mara ya tatu atafungiwa kabisa leseni ya biashara.
Comments