HATIMAYE LEO TUTAMJUA MSHINDI WA SHINDANO LA BIBI BOMBA....
Mida hii ya usiku ndio wakati muafaka wa kutazama clouds tv tumjue bibi bomba, kinyang`anyiro kilichoanza mwezi June mwaka huu.
Uhondo zaidi upate kwenye luninga yako live kutoka mjengoni, popote pale ulipo!
Comments
Anonymous said…
bi dada we si mpenzi wa mipasho please angalia wimbo huu na uyavute maskio yako vizuri ili yakukae maneno haya. ni dedication yako hii. wimbo wa leila unaitwa Hujaipata idhara......,unalo bibie
Comments