MISS WORLD AFRICA MWAKA HUU NI ATONG DEMACH

Pamoja na migogoro ya taifa lao, bado ameweza kufurukuta! Atong Demach ni mshindi wa dunia wa taji la urembo akiiwakilisha Sudan Kusini!
Alifanikiwa kuingia katika warembo bora wa nchi 15, na baadae akafanikiwa kuingia top 7 akiiwakilisha Afrika.

Comments

Popular Posts