NA NGEKEWA IKAMUANGUKIA VERONICA MPANGALA AL MAARUFU KAMA TUKINAO...

Kwa wale waliofanikiwa kuona show ya fainali za shindano la Bibi Bomba live Clouds Tv, natumai wana majibu freshhhh. kwa wale ambao hamkufanikiwa, mshindi wetu ndo huyu, bibi anayesema hana ndugu wa kuzaliwa, wote wameshafariki, na anaishi na watoto tu na maisha yao ni ya hali ya chini. Shukrani alizitoa nyingi mno, hasa kwa Mungu na malaika wake kwani alikuwa akiomba kila wakati ashinde! Wamakonde oyeeeee

Comments

Popular Posts