ANAENIKOSHA NA MOVIE ZA KIPOPO KWA SASA....TONTO DIKEH
Anaweza kuuvaa uhusika wowote ule na akafanya vizuri
Alianza kuvuta sigara akiwa na umri wa miaka 13..but may mwaka huu alitangaza kuacha baada ya kuombewa na T.B Joshua
Ni mrembo, ana kipaji, na hela za kumtosha tu...amemnunulia baba yake gari la zaidi ya milioni 75( sasa waza kwenye akaunti yake kuna salio la milioni ngapi?)kuwa msanii nchi za wenzetu unafaidi aisee..
Ni mwingi wa vituko huko Nigeria lakini nampenda tuuuuu..as long as anafanya kazi yake vizuri, hakuna ubaya!
Unaweza pitia movie zake coz ni nyingi hata kuziorodhesha zote hapa, page yetu itajaa bure!
Haya, hizi ni baadhi tu kutokana na maombi ya mdau....
Tea or Coffee (2006)
Pounds and Dollars (2006)
Missing Rib (2007)
Final Hour (2007)
Divine Grace (2007)
7 Graves (2007)
Crisis in Paradise (2007)
Insecurity (2007)
Away Match (2007)
Games Fools Play (2007)
The Plain Truth (2008)
Love my Way (2008)
Comments