SASA HIVI NI MRS SUNDAY DEMONTE
MASHALAAH ANTY....
Reception hii ilifanyika huko Dubai..Ukionacho ndicho hicho, maswali mengi sii ishu kwani we polisi? hahahahahaha
Mungu awajalie maisha mema na marefu Anty..Shemeji asikubanie tu kuigiza tena manake wengine hapa ni wapenda movie zako tutaugua bure!
Comments