MUNGU AKULAZE PEMA SHARO MILIONEA...
Hili ndo gari liliomsababishia umauti
Marehemu HUSSEIN RAMADHAN aka Sharo Milionea enzi za uhai wake na Mzee Majuto ambaye alikuwa akishirikiana naye katika kazi za matangazo hasa ya Airtel
Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho..so tuwe na subira kwa taarifa zaidi.
Tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi...Mungu amlaze pema peponi Amen..
Comments