ROBERTO DE MATTEO HATUNAYE TENA CHELSEA...

Roberto De Matteo sii kocha tena wa timu ya Chelsea.Klabu ya Chelsea imemtimua kweupeeeee
Duh! ni kama utani vile, manake amedumu na timu hiyo kwa muda mfupi mno..miezi sita hivi kasoro
Ngoja tusubiri atakaeshika usukani...

Comments

Popular Posts